Top Asili

Breaking News

BHUDAGALA -BHUHABE

video ya msanii maarufu wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara. Video inaitwa Bhuhabe akiwa anamaanisha Umaskini. Wimbo huu ndiyo unaobeba jina la albamu yake mpya 2018  aliyoipa jina la "Bhuhabe".
Albamu hii ina nyimbo sita ambazo ni Mali ya baba,Bhokoo,Kabhula,Mbalu,Tulebhalyo na Bhuhabe